Makubaliano ya Kuendesha Kozi ya Diploma ya Sheria kwa Kushirikiana na Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro
15 Jun, 2024
Tarehe 12/06/2024 Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA) kimekamilisha makubaliano ya kuendesha kozi ya Diploma ya Sheria kwa Kushirikiana na Chuo kikuu Mzumbe Morogoro, Kozi hiyo inategemea kuanza mwezi Oktoba mwaka 2024