MAKTABA
Chuo kinatoa huduma ya Maktaba kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 04:00 usiku kwa siku za Jumatatu mpaka Ijumaa, na saa 3:00 asubuhi mpaka saa 7:00 mchana kwa siku za Jumamosi aidha, huduma ya WIFI inapatikana kwa masaa 24.