Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo Cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA)

Jinsi ya Kuomba Stashahada ya Sayansi ya Urekebishaji

STASHAHADA YA SAYANSI YA UREKEBISHAJI

 

SIFA ZA MWOMBAJI

  • ASTASHAHADA YA AWALI YA SAYANSI YA UREKEBISHAJI (NTA LEVEL 4)

ASKARI MAGEREZA ALIYEAJIRIWA MWENYE CHETI CHA KIDATO CHA NNE (CSEE) NA KUPATA UFAULU WA ALAMA “D” NNE AU ZAIDI ZISIZOJUMUISHA MASOMO YA DINI.

 

  • ASTASHAHADA YA SAYANSI YA UREKEBISHAJI (NTA LEVEL 5)

ASKARI MAGEREZA ALIYEAJIRIWA MWENYE CHETI CHA KIDATO CHA NNE (CSEE) NA KUPATA UFAULU WA ALAMA “D” NNE AU ZAIDI ZISIZOJUMUISHA MASOMO YA DINI PAMOJA NA CHETI CHA ASTASHAHADA YA AWALI (BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE) KINACHOTAMBULIWA NA NACTVET AU MAMLAKA YA UDHIBITI SAWA NA NACTVET.

 

AU ASKARI MAGEREZA ALIYEAJIRIWA MWENYE CHETI CHA KIDATO CHA SITA (ACSEE) CHENYE UFAULU WA PRINCIPLE PASS MOJA (1) AU ZAIDI NA SUBSIDISRY MOJA (1) AU ZAIDI ZISIZOJUMUISHA MASOMO YA DINI.

 

  • STASHAHADA YA SAYANSI YA UREKEBISHAJI (NTA LEVEL 6)

ASKARI MAGEREZA ALIYEAJIRIWA MWENYE CHETI CHA ASTASHAHADA YA SAYANSI YA UREKEBISHAJI (TECHNICIAN CERTIFICATE IN CORRECTIONAL SCIENCE (NTA LEVEL5) TOKA NACTVET AU MAMLAKA YA UDHIBITI SAWA NA NACTVET.

 

AIDHA, ADA YA USAJILI (APPLICATION FEE) TSH 5,000/= ILIPWE NA MWOMBAJI KATIKA AKAUNTI NAMBA 0150399661600 BENKI YA CRDB, JINA LA AKAUNTI NI  TZ CORRECTIONAL SCIENCE

  • VIAMBATANISHO
  1. PICHA MBILI PASSPORT SIZE ZA RANGI YA BLUE
  2. NAKALA HALISI YA VYETI VYA ELIMU YA SEKONDARI, CHETI CHA NTA LEVEL 4 , CHETI CHA NTA LEVEL 5 NA CHETI CHA KUZALIWA
  3. NAKALA YA MALIPO YA ADA YA USAJILI (APPLICATION FEE)

ASKARI WENYE SIFA TAJWA HAPO JUU WATUME MAOMBI YAO KWA KUANDIKA BARUA YA MAOMBI NA KUPITISHWA NA WAKUU WA VITUO WALIPO KWENDA  KWA MKUU WA CHUO CHA TAALUMA YA UREKEBISHAJI TANZANIA, S.L.P 4283, DAR ES SALAAM AU KWA BARUA PEPE: tcta@prisons.go.tz,

KWA UFAFANUZI ZAIDI WASILIANA NA:

  • MKUFUNZI MKUU (CI)  -  +255 784  708885
  • AU AFISA UDAHILI WA CHUO  - +255 768 583981.

 

MWISHO WA KUTUMA MAOMBI KWA AWAMU YA KWANZA NI TAREHE 30/06/2024.