Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) akizindua kisima cha maji kilichochimbwa kwa msaada wa Mbunge wa jimbo la Ukonga, DSM tarehe 23/03/2025 Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania
Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania SACP. Willington Kahumuza na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha Wakisaini Makubaliano ya Kuendesha Kozi ya Stashahada ya Sheria.
Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko (MB) akikagua Gwaride katika sherehe ya kufunga mafunzo ya uongozi ngazi ya juu Na. 27/2024 tarehe 28/03/2025 Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Baran Sillo akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa kozi ya Stashahada ya Sayansi ya Urekebishaji mwaka wa masomo 2023/2024
Kamishina Jenerali wa Magereza (CGP) Jeremia Yoram Katungu na Mkuu wa Chuo IAA Prof. Eliamani Sedoyeka katika hafla ya utiaji saini makubaliano ya ushrikiano (MOU) katika kuendesha kozi mbalimbali kuanzia ngazi ya Astashahada, Shahada ya awali na Shahada ya Uzamili tarehe 02/09/2024.