Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo Cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA)

Astashahada ya Sheria

ASTASHAHADA YA SHERIA

Sifa za Mwombaji

Mwombaji awe mwenye cheti cha elimu ya sekondari (CSEE) chenye ufaulu angalau alama D nne (4) katika masomo isipokuwa somo la dini

Kisha Mowmbaji atembelee tovuti ya UDSM Admission kwa ajili ya kuendelea na maombi ya Chuo.