Dira na Dhima
Dira
Kuwa taasisi ya mafunzo ya kitaaluma ya kiwango cha kimataifa katika sayansi ya urekebishaji wafungwa.
Mission
Kutoa maarifa na ujuzi wa urekebishaji wa wafungwa kupitia mafundisho, kozi fupi, tafiti na ushauri wa urekebishaji ili kuimarisha usalama wa umma.