25 May, 2024
MAFUNZO
Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania TCTA kinatoa Mafunzo ya kozi mbalimbali kama vile Astashahada, Stashahada ya Taaluma ya Urekebishaji, Cheti cha Sheria, Kozi fupi za masomo ya sanaa na Kozi za Uongozi wa Jeshi la Magereza kwa ngazi na daraja mbalimbali.