Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo Cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA)

25 May, 2024

KOZI ZA UPANDISHWAJI WA VYEO

CHUO CHA TAALUMA YA UREKEBISHAJI TANZANIA KINATOA KOZI ZA UONGOZI NGAZI YA JUU (GOS COURSE) NA KOZI ZA UONGOZI DARAJA LA  PILI (ADVANCE COURSE) , Pia hapo awali chuo kilitoa kozi za uongozi daraja la kwanza.