Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo Cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA)

Hafla ya Tathmini ya Mwisho ya kozi fupi ya Sanaa
15 Jun, 2024
Hafla ya Tathmini ya Mwisho ya kozi fupi ya Sanaa

Wakufunzi kutoka Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) walifanaya tathmini ya kozi fupi ya sanaa Awamu ya nne tarehe 14/06/2024 katika Ukumbi wa nje wa Chuo cha Taaluma ya urekebishaji Tanzania (TCTA), jumla ya wahitimu hao ni thelathini (30) ambao wamegawanyiaka katika kozi za Maigizo, Muziki na Ngoma za asili.