Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo Cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA)

Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA) Kilichopo Ukonga jijini Dar Es Salaam, kinaendelea kupokea maombi ya masomo 2025/2026
10 Jul, 2025

#magerezaupdates 

Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA) Kilichopo Ukonga jijini Dar Es Salaam, kinaendelea kupokea maombi ya masomo katika fani zote zilizo tangazwa. Tuma maombi yako chuoni moja kwa moja, au wasiliana nao kwa namba zilizopo kwenye tangazo. Wote mnakaribishwa.

                    https://www.instagram.com/p/DL5DPlco3NM/?igsh=MXhla2N1aDRyOXpwZw==