Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo Cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA)

Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA) Ukonga, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Willngton Kahumuza, leo Juni 2, 2026, ameongoza Baraza la Maafisa na Askari
02 Jun, 2026 08:30am
TCTA
admission@tcta.ac.tz

Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA) Ukonga, Dar es Salaam,  Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Willngton Kahumuza, leo Juni 2, 2026, ameongoza Baraza la Maafisa na Askari wa chuo hicho, ambapo amesisitiza umuhimu wa nidhamu, uwajibikaji katika utendaji kazi, ushirikiano miongoni mwa watumishi na uzingatiaji wa sheria, kanuni na taratibu za kazi. 

Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA) Ukonga, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Willngton Kahumuza, leo Juni 2, 2026, ameongoza Baraza la Maafisa na Askari