Sherehe Za Mahafali Ya Tatu Ya Kozi Ya Stashahada Ya Sayansi Ya Urekebishaji Mwaka Wa Masomo 2024/2025
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Baran Sillo (Mb) akimkabidhi cheti mmoja wa Wahitimu katika Mahafali ya Pili ya Chuo cha Taaluma ya Sayansi ya Urekebishaji Tanzania (TCTA) yaliyofanyika Novemba 15,2024 Ukonga jijini Dar es Salaam.
Semester Examinations in Progress – 20 March 2026
Academic Year 2025/2026
Tanzania Correctional Training Academy (TCTA)
Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko (MB) akikagua Gwaride katika sherehe ya kufunga mafunzo ya uongozi ngazi ya juu Na. 27/2024 tarehe 28/03/2025 Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania.